KAKA WA DZUYA AUKATA MZIZI WA FITINA
Hisia mbalimbali kuhusu kuondoka kwa Feyswal Dzuya katika klabu yake mpya SS Assad zimezidi kuibuliwa mitandaoni mashabiki wakitoa maoni yao hadi sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kaka na ajenti wa Dzuya, Ali Moha ni kuwa Dzuya hajaondoka kambini Kwale kwa sababu ya mshahara au marupurupu japo bado inaaminika kuwa kati ya mambo yaliyochangia. […]
KAKA WA DZUYA AUKATA MZIZI WA FITINA Read More »



