Kitaifa

BARAZA LA MAGAVANA LA PINGA SUALA LA UKAGUZI WA UTUMIZI WA FEDHA ZA BASARI KATIKA KAUNTI SITA ZA TAIFA HILI.

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa bajeti Magaret Nyakang’o, imekosolewa vikali kufuatia hatua yake ya kutaka kufanya ukaguzi upya, wa matumizi ya fedha katika kaunti sita humu nchini. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Baraza la Magavana, ambaye pia ni Gavana wa Kaunti ya Wajir, Ahmed Abdullahi, ofisi hiyo imekuwa ikifanya ukaguzi katika kaunti zote na hivyo […]

BARAZA LA MAGAVANA LA PINGA SUALA LA UKAGUZI WA UTUMIZI WA FEDHA ZA BASARI KATIKA KAUNTI SITA ZA TAIFA HILI. Read More »

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUPUNGUZWA KWA MISHAHARA YA WANAGENZI.

Marupurupu ya wauguzi wanagenzi na matabibu imepunguzwa kufuatia agizo la mahakama wiki jana. Katibu katika Wizara ya Afya Mary Muthoni, amesema kuwa wanagenzi wapya watakaoajiriwa watapokea marupurupu yaliyopunguzwa jinsi ilivyoamrishwa na mahakama. Wanagenzi wapya wa shahada ya digrii, watakuwa wakipokea marupurupu ya kati ya shilingi 27,000 na 35,000, wakati wanagenzi wa Utabibu wakipokea kati ya

WIZARA YA AFYA YATANGAZA KUPUNGUZWA KWA MISHAHARA YA WANAGENZI. Read More »

KATIBU WA CHAMA CHA JUBILEE JEREMIAH KIONI APINGA PENDEKEZO LA MAZUNGUMZO YA KITAIFA.

Chama cha Jubilee kimejiunga na viongozi wengine nchini katika mrengo wa upinzani, kupinga pendekezo la kuwepo kwa mazungumzo ya kitaifa, ili kutatua changamoto za vijana wa kizazi cha Gen Z. Katibu mkuu wa chama hicho Jeremiah Kioni, amesema kuwa wakenya hawana haja ya mazungumzo, kwani tayari wanafahamu matatizo yao, ambayo yamekuwa yakizungumzwa kwenye kila kikao

KATIBU WA CHAMA CHA JUBILEE JEREMIAH KIONI APINGA PENDEKEZO LA MAZUNGUMZO YA KITAIFA. Read More »