Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO AKOSOA MATAMSHI YA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA.

Rais William Ruto amemsuta aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagwa kutokana na kauli yake, ya misukosuko ya uongozi wa taifa hili, kwenye ziara yake kule Marekani. Kulingana na Ruto, matamshi hayo hayakupaswa kutoka kwa kinywa cha kiongozi wa haiba yake, kwa kila anachosema amehudumu katika nafasi mbali mbali za uongozi kwenye serikali ya taifa hili kwa […]

RAIS WILLIAM RUTO AKOSOA MATAMSHI YA ALIYEKUWA NAIBU WAKE RIGATHI GACHAGWA. Read More »

BARAZA LA VIJANA NCHINI LATENGEWA FEDHA ZA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE.

Baraza la kitaifa la vijana (NYC) liko huru kuandaa uchaguzi wake wa kitaifa ambao umekwama kwa muda mrefu. Hii ni baada ya Bazara la Mawaziri siku ya Jumanne, kuidhinisha kutolewa kwa shilingi milioni 165, zinazohitajika ili kufanisha uchaguzi huo. Waziri wa Masuala ya Vijana Salim Mvurya, amefichua kuwa hatimaye uchaguzi huo, ambao umekwama tangu mwaka

BARAZA LA VIJANA NCHINI LATENGEWA FEDHA ZA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAKE. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUONGEZEA IDARA YA MAHAKAMA MGAO WA FEDHA KWENYE BAJETI.

Kuna umuhimu wa idara ya mahakama kuongezewa mgao wa fedha katika bajeti yake ya kila mwaka. Haya ni kulingana na mbunge wa Jomvu kaunti ya Mombasa, Badi Twalib ambaye amesema kuongezwa kwa fedha hizo, kutasaidia idara ya mahakama kuboresha utendakazi wake kwa wananchi. Twalib ameelezea kuwa ukosefu wa fedha za kutosha katika idara hiyo, husababisha

SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUONGEZEA IDARA YA MAHAKAMA MGAO WA FEDHA KWENYE BAJETI. Read More »