SERIKALI YA KITAIFA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA HEPATITIS.
Asilimia tatu ya Wakenya wanaugua ugonjwa wa ini, unaojulikana kwa kimombo Hepatitis B na C. Ukosefu wa ufahamu kuhusu ugonjwa huo, hasa katika maeneo ya mashinani, umetajwa kuwa changamoto kuu inayokwamisha juhudi za kukabiliana msambao wa maradhi hayo. Akizungumza na wanahabari jijini, Mombasa wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Hepatitis Duniani, Mkurugenzi Mkuu wa […]
SERIKALI YA KITAIFA YA WEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NA MARADHI YA HEPATITIS. Read More »



