SERIKALI YA KITAIFA YAPANIA KUNUNUA MAGARI ELFU TANO YA MAAFISA WA POLISI KITAIFA.
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amesema kuwa serikali inapania kununua magari elfu tano, yatakayo kabidhiwa maafisa wa polisi. Kulingana na Murkomen, idadi kubwa ya majukumu ya maafisa wa polisi katika taifa hili, yamekosa kufanikishwa kutokana na ukosefu wa usafiri. Akizungumza hapa kaunti ya Kilifi, waziri huyo amesema pia kuna haja ya matatizo ya […]
SERIKALI YA KITAIFA YAPANIA KUNUNUA MAGARI ELFU TANO YA MAAFISA WA POLISI KITAIFA. Read More »



