Kitaifa

WANDANI WA ALIYEKUWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGWA WADAI KUHANGAISHWA NA SERIKALI KUU.

Mbunge wa Githunguri kaunti ya Kiambu, Gathoni Wamuchomba, amedai kwamba maisha yake yako hatarini baada ya serikali kuu kumpokonya walinzi wake. Wamuchomba ambaye pia ni mwandani wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema analengwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa. Akizungumza baada ya kuandikisha taarifa katika afisi za kitengo cha DCI, Wamuchomba amesema kuwa rais […]

WANDANI WA ALIYEKUWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGWA WADAI KUHANGAISHWA NA SERIKALI KUU. Read More »

WANASIASA WALAUMIWA KWA MADAI YA KUFADHILI MAGENGE YA UHALIFU.

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, sasa anasema wanasiasa ndio wanaofadhili magenge ya wahalifu, yanayoendelea kuhangaisha wananchi wa kaunti za Pwani. Waziri Murkomen, ametishia kuwatia nguvuni wanasiasa wanaohusika na masuala ya kufadhili magenge ya kiuhalifu katika kaunti za Pwani na kitaifa. Akizungumza kwenye kikao na viongozi wa kaunti ya Mombasa, pamoja na wakuu wa idara ya

WANASIASA WALAUMIWA KWA MADAI YA KUFADHILI MAGENGE YA UHALIFU. Read More »

MAAFISA WALIOKUWA WAKIHUDUMU KWENYE WIZARA YA AFYA WAMTETEA GACHAGWA DHIDI YA SAKATA YA NETI ZA KEMSA.

Aliyekuwa waziri wa afya Susan Nakhumicha, amemwondolea lawama aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, kwenye sakata ya ununuzi wa vyandarua vya mbu, akisema gachagua hakuchochea kwa namna yoyote utoaji wa zabuni hiyo ya shilingi bilioni 3.7. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge, ya masuala ya kigeni, ili kupigwa msasa kuhusu nafasi ya mwakilishi wa Kenya,

MAAFISA WALIOKUWA WAKIHUDUMU KWENYE WIZARA YA AFYA WAMTETEA GACHAGWA DHIDI YA SAKATA YA NETI ZA KEMSA. Read More »