WAFUASI WA KAWIRA MWANGAZA WAPATA MWANGA WA SIASA ZA KIONGOZI WAO.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Meru, Kawira Mwangaza amesema kuwa atazindua chama chake kitakacho mpatia fursa ya kuwania ugavana wa kaunti hiyo kwa mara nyingine. Kawira ambaye alibanduliwa mamlakani na bunge la kaunti ya Meru, amesema kuwa hatua yake kuwa mgombea huru, ni mojawapo sababu zake kukosa kupata utetezi dhidi ya mswada wa kumuondoa mamlakani […]
WAFUASI WA KAWIRA MWANGAZA WAPATA MWANGA WA SIASA ZA KIONGOZI WAO. Read More »



