Kitaifa

SHIRIKA LA MUHURI LAKASHIFU MAUAJI YA MBUNGE WA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY.

Afisa wa dharura katika shirika la Muhuri kaunti ya Monbasa, Francis Auma amelaani vikali mauji ya mbunge wa Kasipul kaunti ya Homa Bay Ong’ondo Were, huku akitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi dhidi ya kisa hicho. Kulingana na Auma, kisa hicho kina dhihirisha usalama wa taifa hili hauko dhabiti na wakenya wako katika hatari ya […]

SHIRIKA LA MUHURI LAKASHIFU MAUAJI YA MBUNGE WA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY. Read More »

MAAFISA SITA WA KWS WAFIKISHWA MAKAMANI KUFUATIA KISA CHA MVUVI MMOJA KUPOTEA MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU 2025 KAUNTI YA NAKURU.

Huenda familia ya Brian Odhiambo, mvuvi aliyetoweka baada ya kukamtwa na maafisa wa polisi Kule Naivasha ikapata haki baada ya maafisa sita wa KWS kufikishwa mahakamani hii leo kule kaunti ya Nakuru. Kwa mujibu wa wakili wa familia hiyo Abuya Mogendi, kwa sasa uchunguzi ambao umekuwa ukiendelezwa na maafisa wa DCI kuhusiana na kisa hicho,

MAAFISA SITA WA KWS WAFIKISHWA MAKAMANI KUFUATIA KISA CHA MVUVI MMOJA KUPOTEA MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU 2025 KAUNTI YA NAKURU. Read More »

MBUNGE WA ENEO LA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY ONG’ONDO WERE AAGA DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI.

Wizara ya usalama nchini imewahakikishia wakenya kuwa itafanikisha uchunguzi dhidi ya kifo cha mbunge wa Kasipul, kaunti ya Homa Baya Charles Ong’ondo Were. Bunge Ong’ondo Were aliaga dunia jana saa moja unusu usiku, baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana, wakiwa juu ya pikipiki, katika mzunguko uliokaribu na makafani ya City Motuary kaunti ya Nairobi,

MBUNGE WA ENEO LA KASIPUL KAUNTI YA HOMA BAY ONG’ONDO WERE AAGA DUNIA BAADA YA KUPIGWA RISASI. Read More »