TAIFA LA KENYA LAJITAHIDI KATIKA KULINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA MALARIA.
Kenya imepiga hatua kubwa zaidi katika kukabiliana na maradhi ya malaria katika maeneo tofauti ya taifa hili. Haya ni kulingana na katibu wa huduma za afya nchini daktari Mary Muthoni, ambaye amesema, kwa kutumia mfumo wa kidijitali, takriban wakenya milioni 28 katika kaunti 24 za taifa hili walinufaika na neti zilizotibiwa. Katika taarifa yake kwa […]
TAIFA LA KENYA LAJITAHIDI KATIKA KULINDA WANANCHI WAKE DHIDI YA MALARIA. Read More »



