Kitaifa

WIZARA YA LEBA YAPINGA MADAI YA WAKENYA KUHADAIWA KATIKA MPANGO WA KAZI MAJUU.

Waziri wa Leba Dkt. Alfred Mutua amepinga madai kwamba serikali iliwapora na kuwalaghai wakenya kwenye mpango wa kazi majuu wa kuwatafutia kazi Ughaibuni. Kulingana na waziri Mutua, zaidi ya wakenya elfu 41 wamenufaika kupata nafasi hizo za ajira ughaibuni na kuongeza kuwa mtu anaweza pata kazi hizo kwa kati ya mwezi mmoja hadi kumi na […]

WIZARA YA LEBA YAPINGA MADAI YA WAKENYA KUHADAIWA KATIKA MPANGO WA KAZI MAJUU. Read More »

GAVANA WA KAUNTI YA MOMBASA SHARIFF NASSIR APINGA KUHARAMISHWA KWA HAZINA YA NG-CDF NCHINI.

Naibu kinara wa Chama Cha ODM ambaye pia ni gavana wa Kaunti ya Mombasa Abdulswamaad Shariff Nassir, amepinga vikali mapendekezo ya aliyekuwa kinara wa Chama hicho Raila Odinga, kutaka kuondolewa kwa hazina ya maendeleo ya maeneo bunge nchini CDF. Akizungumza katika gatuzi dogo la Jomvu, Nassir amesema hatua hiyo itapunguza juhudi za maendeleo nchini huku

GAVANA WA KAUNTI YA MOMBASA SHARIFF NASSIR APINGA KUHARAMISHWA KWA HAZINA YA NG-CDF NCHINI. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO ASIFIA NDOA YAKE NA RAILA ODINGA.

Rais William Ruto amewaonya viongozi katika nafasi mbali mbali kwenye serikali yake, dhidi ya kuendeleza siasa na badala yake kufanya maendeleo. Kulingana Rais, kwa sasa ni wakati wa wananchi kufaidi matunda ya uchaguzi, kupitia kufanikishwa kwa miradi ya maendeleo mashinani. Akizungumza katika ziara yake kule kaunti ya Narok, rais amesisitiza haja ya wakenya, kuungana na

RAIS WILLIAM RUTO ASIFIA NDOA YAKE NA RAILA ODINGA. Read More »