Kitaifa

RIGATHI GACHAGWA ATARAJIWA KUZINDUA CHAMA CHAKE WIKI HII.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa amesema kuwa atazindua chama chake cha kisiasa wiki hii. Kulingana na Gachagwa chama hicho atakacho tumia kufanikisha agenda yake ya kuwania uras wa taifa hili mwaka 2027. Gachagwa amepinga madai ya kushuhudiwa kwa mgawanyiko katika mrengo wa upinzani huku akiwasisitiza vijana kuhakikisha kuwa wanasajiliwa kuwa wapinga kura. Haya yanajiri […]

RIGATHI GACHAGWA ATARAJIWA KUZINDUA CHAMA CHAKE WIKI HII. Read More »

WAKENYA WALAUMIWA KWA KUCHAPISHA TAARIFA MBAYA MITANDAONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MBUNGE WA KASIPUL, ONG’ONDO WERE.

Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, amekosoa hisia za umma kuhusu mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were, akitaja baadhi ya taarifa zinazo chapishwa mitandaoni kuwa zisizo na moyo wa huruma. Wetangula amesema kuwa wakenya wengi kwa sasa wamekuwa wenye gadhabu na hata kukosa kutathmini kauli wanazo chapisha mitandaoni kutokana na kisa hicho

WAKENYA WALAUMIWA KWA KUCHAPISHA TAARIFA MBAYA MITANDAONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MBUNGE WA KASIPUL, ONG’ONDO WERE. Read More »