Kitaifa

BARAZA LA MAGAVANA LAKISIA KUWEPO KWA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA MPANGO WA UHC.

Huenda Kenya inapoteza mabilioni ya fedha kupitia mpango wa afya kwa wote wa UHC, kufuatia madai ya kuwepo wa maelfu ya wafanyakazi hewa wanaolipwa mishahara. Mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana Muthomi Njuki, anasema kuwa takribani wafanyakazi hewa elfu tatu, wamekuwa wakilipwa pasi na kufanyakazi. Njuki ambaye pia ni gavana wa kaunti […]

BARAZA LA MAGAVANA LAKISIA KUWEPO KWA WAFANYAKAZI HEWA KATIKA MPANGO WA UHC. Read More »

RIGATHI GACHAGWA AWASUTA WANASIASA WANAO MUUNGA MKONO RAIS WILLIAM RUTO.

Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagwa, amewasuta vikali baadhi ya wabunge wa eneo Mlima Kenya, kwa kuendelea kumuunga mkono rais William Ruto. Kulingana na Gachagwa, viongozi wanaounga mkono Serikali kuu, waendelea kupotosha wananchi katika eneo hilo, kwani huenda wakakosa kunufaika na matunda ya uongozi wa rais Ruto. Akizungumza katika eneo bunge la Lari kaunti

RIGATHI GACHAGWA AWASUTA WANASIASA WANAO MUUNGA MKONO RAIS WILLIAM RUTO. Read More »

SERIKALI YA KITAIFA YAAHIDI KUBORESHA BIMA MPYA YA AFYA SHA.

Serikali ya kitaifa imesema itaanzisha mpango wa wakenya wamapato ya chini, kumudu gharama ya malipo ya bima mpya ya afya SHA. Kulingana na rais William Ruto, mpango huo utasaidia pakubwa wakenya kupata huduma za afya, katika hospitali yeyote ndani ya taifa hili. Akizungumza katika kaunti ya Homa Bay, kwenye maadhimisho ya siku ya Madakaraka, kiongozi

SERIKALI YA KITAIFA YAAHIDI KUBORESHA BIMA MPYA YA AFYA SHA. Read More »