Kitaifa

RAIS WILLIAM RUTO APONGEZA USHAURI WA RAILA ODINGA KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUU.

Rais William Ruto amesema serikali inajivunia mawazo yenye hekima, maono na maoni, yaliyotolewa na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, wakati wa hotuba yake kwenye mkutano wa tatu wa kitaifa, wa Baraza la Mawaziri ulioandaliwa Karen, jijini Nairobi. Kupitia ukurasa wake wa X leo Ijumaa, Rais Ruto amesema, wito wa Raila kwa viongozi waangazie yaliyo mema, […]

RAIS WILLIAM RUTO APONGEZA USHAURI WA RAILA ODINGA KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUU. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AWATAKIA WAISLAMU SHEREHE NJEMA ZA EID-AL-ADHA.

Rais William Ruto ametuma ujumbe wa heri njema kwa jamii ya Waislamu hapa nchini, wanaposherehekea Siku Kuu ya Eid-ul-Adha leo Ijumaa. kupitia ukurasa wa X, Rais Ruto amewatakia sherehe za amani na furaha tele. Maadhimisho hayo yanadhihirisha kujitolea kwa mtume Ibrahim, kumtoa mwanawe wa kiume, kama kafara kwa Mungu, kabla ya Mungu kutoa kondoo kuchinjwa

RAIS WILLIAM RUTO AWATAKIA WAISLAMU SHEREHE NJEMA ZA EID-AL-ADHA. Read More »

MUUNGANO WA UPINZANI WATANGULIZA KAMPENI ZAO ENEO LA UKAMBANI KABLA YA RAIS WILLIAM RUTO.

Viongozi wa mrengo wa upinzani nchini wameanza rasmi ziara yao katika eneo la Ukambani siku chache kabla ya rais William Ruto kuzuru eneo hilo. Wakiongozwa na kinara wa chama cha DCP, Geoffrey Gachagwa amemsuta rais William Ruto kwa kumtumia msaidizi wake Faruk Kibet kumkejeli kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka. Akihutubia wananchi katika kaunti

MUUNGANO WA UPINZANI WATANGULIZA KAMPENI ZAO ENEO LA UKAMBANI KABLA YA RAIS WILLIAM RUTO. Read More »