WIZARA YA USALAMA YAAHIDI KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WALE WALIOFADHILI MAANDAMANO NCHINI.
Idara ya usalama nchini imeapa kuwachukulia hatua za kisheria wanasiasa watakaopatikana na hatia, ya kufadhili maandamano ya kizazi cha Gen Z katika maeneo tofauti ya taifa hili. Katika taarifa wa waandishi wa habari, kwenye majengo ya afisi za wizara hiyo kaunti ya Nairobi, Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amekashifu hatua ya waandamanaji kuharibu […]



