Kitaifa

VIJANA WANAOSAKA AJIRA UGHAIBUNI WAONYWA DHIDI YA UTOVU WA MAADILI.

Waziri wa leba nchini  Alfred Mutua amewaonya vijana wanaopata nafasi za ajira mataifa ya nje, dhidi ya kujihusisha na visa vya utovu wa nidhamu, wanapokuwa kazini kule ughaibuni. Kulingana na waziri Mutua, huenda hatua hiyo, ikawasababisha kufutwa kazi na hata kufutiliwa mbali kwa kandarasi zao, sawia na kukabiliwa kisheria. Akizungumza katika kaunti ya Kwale, amesema […]

VIJANA WANAOSAKA AJIRA UGHAIBUNI WAONYWA DHIDI YA UTOVU WA MAADILI. Read More »

WAKAAZI WA KAUNTI YA HOMA BAYA WASISITIZWA KUUNGA MKONO SERIKALI YA MUUNGANO.

Rais William Ruto amewataka wakenya katika kaunti ya Homa Bay kuunga mkono na serikali yake, ili kushuhudia maendeleo katika eneo hilo. Akihutubia wananchi, Ruto amewaonya dhidi ya kukubaliana na kauli za wapinzani wake, wanao ongozwa na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagwa. Rais amekashifu viongozi wa upinzani, akidai wamekuwa wakiendeleza fitina dhidi ya serikali yake, huku

WAKAAZI WA KAUNTI YA HOMA BAYA WASISITIZWA KUUNGA MKONO SERIKALI YA MUUNGANO. Read More »

MWANASHERIA MKUU DORCAS ODWOR ATETEA MADAI YA KUHAMISHWA KWA MUHURI WA SERIKALI KUTOKA KWA AFISI YAKE.

Mwanasheria mkuu nchini Dorcas Odwor amepinga madai ya kuhamishwa kwa muhuri maalum wa serikali kuu kutoka kwa afisi yake na kupelekwa katika afisi ya mkuu wa watumishi wa umma nchini Felix Koskei. Odwor ameweka wazi kuwa muhuri huo, ungali unadhibitiwa na afisi yake kwa mujibu wa sheria za taifa hili. Akizungumza na waandishi wa habari,

MWANASHERIA MKUU DORCAS ODWOR ATETEA MADAI YA KUHAMISHWA KWA MUHURI WA SERIKALI KUTOKA KWA AFISI YAKE. Read More »