RAIS WILLIAM RUTO ANGALI KUSIFIA MUUNGANO WAKE NA RAILA ODINGA.
Rais William Ruto amewakashifu pakubwa baadhi ya wapinzani wake, ambao wameendelea kupinga miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Akizungumza katika ziara yake kule kaunti ya Kisumu, rais Ruto amempongeza aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga, kwa kumsaidia katika kuboresha maendeleo ya taifa hasa katika eneo hilo. Rais amewataka wapinzani wake kuto ingiliakati umoja […]
RAIS WILLIAM RUTO ANGALI KUSIFIA MUUNGANO WAKE NA RAILA ODINGA. Read More »



