RAIS WILLIAM RUTO AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA PWANI KATIKA IKULU YA NAIROBI.
Kuna haja ya serikali ya kitaifa kuweka mikakati ya kuboresha mapato na utendakazi wa bandari ya Mombasa. Haya ni kwa mujibu wa rais William Ruto ambaye amesema kuwa bandari ya Mombasa, inauwezo mkubwa wa kupatia taifa hili mapato mengi zaidi na hata kusaidia wananchi wengi kupata nafasi za ajira. Akizungumza katika kikao na viongozi waliochanguliwa […]
RAIS WILLIAM RUTO AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA PWANI KATIKA IKULU YA NAIROBI. Read More »



