WANASIASA KAUNTI YA LAMU WAANZISHA MIKAKATI YA KUWANIA NYADHIFA ZA KISIASA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2027.
Viongozi wa jamii asili za kaunti ya Lamu wametoa wito kwa walio na kura kushirikiana na kujitokeza kwa wingi, kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027, ili kuchagua viongozi watakao wawakilisha kwenye bunge la kitaifa. Viongozi hao wa jamii za Wabajuni, Waboni na Wamijikenda, wamesema ushirikiano wao ndio utahakikisha masuala yanayowazonga yanatatuliwa. Wakiongozwa na spika wa bunge la kaunti ya Lamu, Azhar […]



