Kaunti

MAMLAKA YA CDA ENEO LA PWANI YAZINDUA UJENZI WA VYUMBA ZAIDI VYA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA MALINDI KAUNTI YA KILIFI.

Huduma za afya katika kaunti tatu za pwani zinatarajiwa kuimarika katika siku za usoni, baada ya mamlaka ya maendeleo eneo la pwani CDA, kuzindua ujenzi wa vyumba vya wagonjwa, wanaohitaji huduma maalum katika hospitali ya Malindi kaunti ya Kilifi. Akizungumza baada ya uzinduzi huo, mwenyekiti wa mamlaka hiyo Mzee Mwinyi Mzee, anasema mradi huo unaotekelezwa […]

MAMLAKA YA CDA ENEO LA PWANI YAZINDUA UJENZI WA VYUMBA ZAIDI VYA WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA MALINDI KAUNTI YA KILIFI. Read More »

JAMII KAUNTI YA MOMBASA YATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI.

Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamad Sharif Nassir ametoa wito kwa viongozi kwenye jamii kaunti hiyo, kushirikiana ili kukuza talanta za vijana. Nassir amesema katika kufanya hivyo, watasaidia pakubwa vijana wengi ambao hupotoka kimaadili kwenye jamii na kujihusisha na utumizi wa mihadarati. GAVANA huyo aidha amewashauri vijana, kutohusisha talanta na utumizi wa mihadarati kwani itaathiri

JAMII KAUNTI YA MOMBASA YATAKIWA KUSHIRIKIANA KATIKA VITA DHIDI YA UTUMIZI WA MIHADARATI. Read More »

VIJANA ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUSOMEA TAALUMA ZA UBAHARIA.

Mbunge wa Rabai kaunti ya Kilifi, Kenga Mupe amewataka vijana katika eneo lake kukumbatia taaluma za mafunzo ya ubaharia, ili kunufaika na nafasi za ajira kwenye meli kimataifa. Kiongozi huyo ameahidi kuunga mkono vijana hao, kwa kuwasaidia katika kutafuta nafasi hizo za ajira, ili waweze kujiendeleza katika maisha. Akihutubia jamii katika eneo hilo Mupe, amewataka

VIJANA ENEO LA RABAI KAUNTI YA KILIFI WASISITIZWA KUSOMEA TAALUMA ZA UBAHARIA. Read More »