AFISI YA MWANASHERIA MKUU KAUNTI YA LAMU YAFUNGULIWA RASMI.
Niafueni kwa wakaazi wa kaunti ya Lamu wanaokabiliwa na changamoto za kutafuta huduma za afisi ya mkuu wa sheria nchini baada ya afisi hiyo kufunguliwa rasmi katika kaunti hiyo. Akizungumza kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa afisi hiyo, mwanasheria mkuu Shedrack Mose amesema kuwa wananchi wa kaunti ya Lamu sasa watapata fursa ya kufahamu masuala […]
AFISI YA MWANASHERIA MKUU KAUNTI YA LAMU YAFUNGULIWA RASMI. Read More »



