Kaunti

DANSON MWASHAKO ADAI WENYEJI WA WUNDANYI HAWAJAKUWA WAKINUFAIKA NA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI

Mbunge wa Wundanyi kaunti ya Taita Taveta Danson Mwashako amesema wenyeji wa kaunti hiyo hawajakuwa wakinufaika na shughuli za uchimbaji madini ambazo zinaendelezwa na mwekezaji mmoja wa kibinafsi. Mwashako anadai mwekezaji huyo amekiuka sheria za uchimbaji madini kwani amekuwa akikwepa kutoa asilimia ya mgao wa fedha kwa wenyeji kutokana na madini hayo. Aidha, amesema licha […]

DANSON MWASHAKO ADAI WENYEJI WA WUNDANYI HAWAJAKUWA WAKINUFAIKA NA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI Read More »

MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA

Jaji mkuu wa Mahakama ya Ardhi na Mazingira Dkt. Millicent Odeny amesema maeneo bunge ya Kilifi Kaskazini na Kilifi Kusini kaunti ya Kilifi ni miongoni mwa yale yanayokumbwa na uskwota kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika kikao na wanahabari mjini Kilifi kaunti ya Kilifi Odeny amesema wakati umefika kwa serikali ya kaunti ya Kilifi kushughulikia swala

MAENEO BUNGE YA KILIFI KASKAZINI NA KILIFI KUSINI MIONGONI MWA YANAYOKUMBWA NA USKWOTA Read More »

BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA KILIFI WATOA WITO KWA WAZAZI KUWA KARIBU NA WATOTO WAO WA KIKE

Viongozi wa kisiasa kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa wazazi kaunti ya Kilifi kuchukua jukumu la kuzungumza na watoto wao wa kike kuhusiana na athari za kushiriki ngono wakiwa na umri. Wakiongozwa na Naibu gavana wa kaunti ya Kilifi Magret Chibule, pamoja na Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi Getrude Mbeyu, ambao walikuwa wakizungumza katika

BAADHI YA VIONGOZI KAUNTI YA KILIFI WATOA WITO KWA WAZAZI KUWA KARIBU NA WATOTO WAO WA KIKE Read More »