WAMILIKI WA MABAA NA MIKAHAWA MJINI MALINDI WAONYWA
Naibu kamishna wa eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi, Thuo Ngugi amewaonya wamiliki wa mabaa na mikahawa katika eneo hili la Malindi dhidi ya kuendeleza kelele nyakati za usiku, msimu huu wa sherehe za krismasi. Kulingana na Ngugi idadi kubwa ya wamiliki wa sehemu hizo za burudani, wamekuwa wakitatiza amani ya baadhi ya wananchi […]
WAMILIKI WA MABAA NA MIKAHAWA MJINI MALINDI WAONYWA Read More »



