Kaunti

WAZAZI ENEO LA MSAMBWENI WAENDELELEA KUHIMIZWA KUWA KARIBU NA WATOTO WAO

Naibu kamishna wa eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale Kipkoech Lotiatia amewataka wazazi eneo hilo kuwalinda watoto wao msimu huu wa likizo ndefu ya mwezi wa Disemba. Lotiatia amesema ni vyema kwa wazazi kuwa karibu na watoto wao ili kuwalinda dhidi ya kushawishika kutumia dawa za kulevya na mambo mengine maovu ambayo huenda yakawaathiri […]

WAZAZI ENEO LA MSAMBWENI WAENDELELEA KUHIMIZWA KUWA KARIBU NA WATOTO WAO Read More »

GAVANA MUNG’ARO APANIA KUZURU KILA ENEO BUNGE KAUNTI YA KILIFI

Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro amesema anapania kuzuru kila eneo bunge kaunti ya Kilifi kama njia moja ya kuwahudumia wenyeji kwa urahisi. Amesema mpangao huo utaanza kutekelezwa kuanzia mwaka ujao wa 2023 ili kuwapunguzia wenyeji wa kaunti ya Kilifi gharama ya kuzuru kwenye afisi yake kila wanapotaka huduma mbalimbali. Mung’aro pia ameahidi

GAVANA MUNG’ARO APANIA KUZURU KILA ENEO BUNGE KAUNTI YA KILIFI Read More »

RUWEIDA OBO AISHINIKIZA SERIKALI KUU KWA USHIRIKIANO NA YA KAUNTI YA KILIFI KUWEKA LAMI BARABARA YA MTANGAWANDA – KIZINGITINI

Mbunge wa Lamu Mashariki kaunti ya Lamu, Ruweida Obo ameishinikiza serikali ya kitaifa kwa ushirikiano na serikali ya kaunti kuweka lami kwenye barabara ya Mthangawanda – kizingitini katika kisiwa cha Pate. Obo amesema kuwa eneo hilo limesalia nyuma kimaendeleo kutokana na kukosa miundo msingi muhimu jambo lililochochea shikizo hizo. Mbunge huyo aidha amemhimiza gavana wa

RUWEIDA OBO AISHINIKIZA SERIKALI KUU KWA USHIRIKIANO NA YA KAUNTI YA KILIFI KUWEKA LAMI BARABARA YA MTANGAWANDA – KIZINGITINI Read More »