Kaunti

OMAX FC YALENGA KUINGIA DARAJA LA KWANZA MSIMU UJAO

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Omax fc mjini Mombasa Juma Kalato anasema anamatumaini makubwa ya kupanda daraja hadi daraja la kwanza kitaifa msimu ujao. Alikuwa akiyasema hayo baada ya kuichapa Yanga fc mjini Malindi kichapo cha mabao 4-1 katika uwanja wa Alaskan mjini malindi wikendi iliopita. Kufikia sasa Omax imeshinda mechi zote za ligi msimu […]

OMAX FC YALENGA KUINGIA DARAJA LA KWANZA MSIMU UJAO Read More »