TUME YA ARDHI YAAHIDI KUTATUA UTATA WA ARDHI YA UWANJA WA NDEGE MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI.
Tume ya ardhi nchini imesema kuwa itatoa taarifa kamili kuhusiana na malipo ya fidia, kwa waathiriwa wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Malindi kaunti ya Kilifi miezi miwili kuanzia sasa. Kulingana na mwenyekiti wa tume hiyo Gershom Otachi, sharti tume hiyo ifanye uchunguzi wa uhalali wa hati miliki za ardhi hizo, ili kubaini wale […]



