PELE KUSALIA KITANDANI KIPINDI CHA KRISMASI
Hali ya kiafya ya nguli wa brazil mwite Pele imeanza tena kuzorota akiwa hospital jijini Sao Paulo Brazil ambako anapata matibabu ya saratani. Nguli huyo mwenye umri wa miaka 82 amekuwa akiandamwa na magonjwa ya mara kwa mara huku akiwa chini ya uangalizi mkali wa madaktari ambao kwa sasa wanataja kwamba hali yake bado haijakuwa […]
PELE KUSALIA KITANDANI KIPINDI CHA KRISMASI Read More »



