Kimataifa

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Newcastle United mwite Eddie Howe amesema madai ya kwamba sajili mpya ya Al Nasr Christiano Ronaldo ameweka kipendele cha kurudi uingereza na kuchezea Newcastle iwapo itafuzu kuingia mashindano ya Uefa Champions league msimu ujao ni porojo tupu na hayana ukweli wowote. Ronaldo alitambulishwa rasmi jana kwa mashabiki wa Al Nassr […]

RONALDO KUJA NEWCASTLE NI POROJO – EDDIE HOWE Read More »

MWAKA MBOVU KWA RIADHA NCHINI, WACHACHE WANG’AA

Mwaka wa 2022 ndio mwaka uliokuwa mbovu katika riadha ya kenya kutokana na matokeo ya mchezo wa riadha katika historia. Hata hivyo wanariadha asili ya Kenya wanaoakilisha mataifa ya nje wamezidi kuonyesha ubabe wao wakishindanishwa na baadhi ya wanariadha raia wa Kenya. Takwimu zinasema kwamba hii ndio mara ya kwanza kabisa tangia kuwahi kutokea namna

MWAKA MBOVU KWA RIADHA NCHINI, WACHACHE WANG’AA Read More »