BUNGE LA KILIFI KUUNDA TIMU YA KAUNTI
Bunge la kaunti ya Kilifi linalenga kutengeneza kikosi cha soka kitakachowakilisha kaunti nzima ya kilifi. Kikosi hicho kitachojumuisha wachezaji kutoka maeneo mbali mbali ya kaunti hii. Kauli hiyo imetolewa na mwakilishi wadi mteule wa bunge la kaunti ya Kilifi Betty Kache wakati akizungumza na wachezaji walioshiriki katika mashindano ya Talanta Soka katika uwanja wa shule […]
BUNGE LA KILIFI KUUNDA TIMU YA KAUNTI Read More »



