Michezo

LAZIMA TUISHINDE LIVERPOOL ILI TUNG’ANG’ANIE UBINGWA WA LIGI

Mkufunzi Erick Ten Hag anasema kwamba ni sharti vijana wake wasajili ushindi dhidi ya Liverpool ili vijana wake wasalie katika kinyanganyiro cha kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu huu. The Red Devils watasafiri hadi Anfield siku ya jumapili kuchuana na wekundu wa Mersisyde wanaoongozwa na mkufunzi Jergen Klopp. Kwa upande wake Klopp anasema ushindi wa […]

LAZIMA TUISHINDE LIVERPOOL ILI TUNG’ANG’ANIE UBINGWA WA LIGI Read More »

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY

Mkufunzi wa ligi ya daraja la pili kitaifa Peter Ponda anayekiongoza kikosi cha Beach Bay anasema sababu kubwa ya kufanya klabu hiyo kuandikisha matokeo duni msimu huu ni kutokana na baadhi ya wachezaji tegemezi kujiondoa kikosini hapo. Baadhi wa wachezaji anaowakosa ni pamoja na Amani Kiponda aliyehamia klabu ya Mombasa Omax FC ambayo pia yacheza

WALINIONDOKEA NIKAYUMBA – PETER MOLE MKUFUNZI WA BEACH BAY Read More »