MASHINDANO YASHULE ZA UPILI YARINDIMA KWALE
Mashindano ya Riadha za muhula wa kwanza katika shule za upili za gatuzi dogo la Matuga Kaunti ya Kwale, yameanza rasmi leo katika shule ya Upili ya Wavulana ya Kwale. Takribani Shule 21 zinashiriki katika vitengo mbalimbali ikiwemo ,mbio ndefu na fupi ,mpira wa kikapu , Raga, mpira wa magongo ,handiball, kurusha mkuki, kuruka viunzi […]
MASHINDANO YASHULE ZA UPILI YARINDIMA KWALE Read More »


