Michezo

TUKO TAYARI KUIWAKILISHA KENYA KIMATAIFA – OLUNGA

Nahodha wa timu ya taifa ya Harambee stars Michael Olunga ameeleza kufurahishwa kwake na shirikisho la soka nchini kwa maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Iran katika jaribio la kujipima uwezo wao katika ushuindani wa kimataifa. Harambe stars ambao mara ya mwisho kucheza mechi ya kimataifa ilikuwa mwaka 2021 dhidi ya Rwanda wamekuwa nje […]

TUKO TAYARI KUIWAKILISHA KENYA KIMATAIFA – OLUNGA Read More »

MATUMAINI YAPO YA KUFUZU KIMATAIFA – PAUL BITOK

Mkufunzi wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Malkia Straikas Paul Bitok ameeleza kuridhika na hatua ya kamati ya olimpiki nchini Noc kuandaa mashindano ya michezo ya ufukweni mjini malindi kaunti ya Kilifi wikendi ilopita. Amesema hatua hiyo itasaidia kujenga vikosi vya kitaifa vitakavyowakilisha taifa hili kimataifa. Mkufunzi huyo amesema anamatumaini makubwa kwamba

MATUMAINI YAPO YA KUFUZU KIMATAIFA – PAUL BITOK Read More »