VYUMA VYAKAZA REAL, CITY, ARSENAL NA BAYERN MUNICH
Klabu ya Arsenal inayoongozwa na kocha mikel Arteta kule uingereza imelazimishwa sare ya bao 2-2 dhidi ya klabu ya Bayern Munich ya kule ujerumani katika mechi ya raundi ya kwanza ya kombe la klabu bingwa barani ulaya hatua ya robo fainali. Ni mechi ambayo ilikuwa imejaa mbwembwe za mashabiki wa Gunners wakiwa nyumbani pale Emirates […]
VYUMA VYAKAZA REAL, CITY, ARSENAL NA BAYERN MUNICH Read More »



