KILIFI INA MATUMAINI YA KYISA
Timu ya kaunti ya Kilifi huenda ikasajili ubingwa wa mashindano ya KYISA katika mchezo wa Voliboli mwaka huu ambapo ndio waandaaji wa makala ya tisa ya michuano hiyo. Akizungumza na Tama La Spoti katika uwanja wa Alaskan kocha mkuu wa kikosi cha kaunti hiyo Jimmy Ngala amepongeza hatua ya serikali kubuni timu ya kaunti ya […]
KILIFI INA MATUMAINI YA KYISA Read More »



