MAGUIRE NJE WIKI TATU
Ni rasmi sasa Harrry Maguire beki wa klabu ya Manchester United atakaa nje kwa muda wa wiki tatu kutokana na jeraha alilopata mazoezini. Hii inamaanisha kuwa atakuwa nje kwa mechi zilizosalia msimu huu ikiwemo mechi ya fainali ya kombe la FA ambapo watakuwa wanavaana na klabu ya Manchester City katika dimba la Wembley. Kwa sasa […]
MAGUIRE NJE WIKI TATU Read More »



