MSHUKIWA WA MAUAJI YA MBUNGE CHARLES WERE AACHILIWA BAADA YA KUKAMATWA KWA MARA YA PILI.
Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), imefanikiwa kukata rufaa ya kuachiliwa kwa mfanyabiashara Philip Aroko, ambaye ni mmoja wa washukiwa wa mauaji ya mbunge wa Kasipul kaunti ya Homa Bay, Charles Were,. Aroko, alikamatwa tena baada ya mahakama kuu ya Kibera, kubatilisha hatua ya kumwachilia kwa dhamana. Aroko, alikamatwa mnamo Jumatatu jioni baada […]
MSHUKIWA WA MAUAJI YA MBUNGE CHARLES WERE AACHILIWA BAADA YA KUKAMATWA KWA MARA YA PILI. Read More »



