WABUNGE WA PWANI WASHINIKIZA SERIKALI KUU KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA YA MAENDELEO UKANDA HUU.
Wabunge wa Pwani wanasema wataendelea kupigania masuala ya maendeleo eneo hili, ili kupata ufadhili wa miradi katika bajeti ya mwaka ujao. Wakiongozwa na mwenyekiti wao Danson Mwashako, wamesema kuwa serikali ya kitaifa, inapaswa kufanikisha miradi yake ukanda huu, hatua ambayo itaboresha uchumi wa Pwani. Akizungumza katika kikao kilicho waleta pamoja viongozi wa Pwani, katika kaunti […]



