TONNY NGALA

TUME YA EACC YAONYWA DHIDI YA KUTUMIKA KISIASA NA SERIKALI.

Gavana wa kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya amemuonya mkurugenzi mkuu wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC, Abdi Ahmed Mohamud dhidi ya kukubali kutumika kisiasa na serikali ya kitaifa. Kwa mujibu wa Natembeya tume hiyo inapaswa kutumia mamlaka yake katika kutekeleza haki na usawa dhidi ya wanasiasa wanao kamatwa na maafisa […]

TUME YA EACC YAONYWA DHIDI YA KUTUMIKA KISIASA NA SERIKALI. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA PWANI KATIKA IKULU YA NAIROBI.

Kuna haja ya serikali ya kitaifa kuweka mikakati ya kuboresha mapato na utendakazi wa bandari ya Mombasa. Haya ni kwa mujibu wa rais William Ruto ambaye amesema kuwa bandari ya Mombasa, inauwezo mkubwa wa kupatia taifa hili mapato mengi zaidi na hata kusaidia wananchi wengi kupata nafasi za ajira. Akizungumza katika kikao na viongozi waliochanguliwa

RAIS WILLIAM RUTO AFANYA KIKAO NA VIONGOZI WA PWANI KATIKA IKULU YA NAIROBI. Read More »

WANAHARAKATI WA KENYA WAZUILIWA KUHUDHURIA KESI YA KIONGOZI WA CHAMA CHA CHADEMA TUNDU LISU.

Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu za kuwakamata na kuwarudisha makwao, wanaharakati kutoka Kenya na Uganda, waliokuwa wamefika jijini Dar es Salaam, kushuhudia kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Tukio hilo limeibua mjadala mkubwa kuhusu uhuru wa mahakama, uhusiano wa kikanda na nafasi ya wanaharakati katika muktadha wa haki za binadamu Afrika Mashariki. Akizungumza

WANAHARAKATI WA KENYA WAZUILIWA KUHUDHURIA KESI YA KIONGOZI WA CHAMA CHA CHADEMA TUNDU LISU. Read More »