BENNI McCARTHY AANZA KAZI
Mkufunzi wa Timu ya Taifa ya wanaume Benni McCarthy, amekitaja Kikosi cha wachezaji ishirini na watano kitachosafiri kuelekea Abidjan Ivory Coast hapo kesho, Tayari kwa Mechi za Kufuzu kwa Kombe la Dunia la Mwaka Ujao dhidi ya Gambia. Kikosi hicho ambacho kitazama dimbani siku ya Alhamisi Kinajumuisha Kipa wa Bandari Faruk Shikalo na Kipa Ian […]
BENNI McCARTHY AANZA KAZI Read More »



