RAIS RUTO AWAPONGEZA WANARIADHA
wanaradha wa Kenya walioshiriki katika mashindano ya olimpiki ya mwaka huu jijini paris Ufaransa wamepokelewa na rais Willian Samoei ruto alfajiri ya leo kwenye dhifa maalum ya kiamsha kinywa mjini Eldoret. Kati ya waliohudhuria hafla hiyo ni waziri wa michezo Kipchumba Murkomen na katibu wake Peter Tum miongoni mwa wanariadha wengine wakongwe. Rais Ruto ametumia […]
RAIS RUTO AWAPONGEZA WANARIADHA Read More »



