VILABU VYA MASHINANI VYALILIA USAFIRI KILIFI
Vilabu vya soka mashinani vinazidi kulilia hali ngumu ya kuendesha michezo kutokana na ukosefu wa ufadhili licha ya kuwepo kwa serikali za ugatuzi. Mkufunzi wa klabu ya Yanga FC iliyoko mjini malindi mwite Collins Omol ametoa wito kwa serikali ya kaunti ya Kilifi kuja mashinani na kusaidia kusuluhisha hali ngumu ya kuendesha michezo wanayopitia kwa […]
VILABU VYA MASHINANI VYALILIA USAFIRI KILIFI Read More »



