GOSHI UNITED YASIMAMISHWA MALINDI
Klabu ya Goshi United inayoshiriki ligi ya eneo bunge la Malindi kaunti ya kilifi imefungiwa na fkf kushiriki ligi hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kupatikana na hatia ya ukosefu wa nidhamu mara kadhaa msimu huu. Lucas Bahati ambaye ni katibu mkuu wa soka hilo ni kuwa ukosefu mkubwa wa nidhamu kwa klabu hiyo umesababisha […]
GOSHI UNITED YASIMAMISHWA MALINDI Read More »



