SOKA LA ELIMU LARINDHIMA TEZO
Timu ya walimu wa shule za upili kutoka eneo la Chonyi kaunti ya Kilifi imewarambisha sakafu kwenye mchezo wa kirafiki uliojaa mbwe mbwe na mahanjam ya kila aina mjini Tezo. Ngarambe hiyo iliyohusisha timu ya kabumbu ya walimu wa shule za upili kutoka eneo la Chonyi maarufu kikosi kazi imeonyesha umahiri ugenini kwa kupata ushindi […]
SOKA LA ELIMU LARINDHIMA TEZO Read More »



