Paps Mkare

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI WA KILIFI KUTENGA BAJETI YA MICHEZO

Wito umetolewa kwa wawakilishi wadi wa kaunti ya kilifi kupeleka miswada bungeni ambayo itasaidia katika kuimarisha michezo. Tom Lango ambaye ni mwenyekiti wa fkf tawi la eneo bunge la Malindi ameshauri serikali ya kaunti hiyo kutenga bajeti itakayosaidia kusimamia fedha za kuendesha ligi za mashinani ikizingatiwa kwamba kwa sasa vilabu vingi vinapitia wakati mgumu kifedha.

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI WA KILIFI KUTENGA BAJETI YA MICHEZO Read More »

GOR MAHIA YAIPIGA TALANTA, OMALA AKIZIDI KUNG’AA LIGINI

Gor Mahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu nchini wamesajili ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Talanta Fc katika mtanange uliochezwa dimbani Nyayo. Benson Omala aliendelea kungaa katika mechi hiyo kwa kufunga bao lake la 10 msimu huu, huku John Macharia leo akiingiam kambani lakini pia Joshua Onyango akitikisa nyavu. Matokeo hayo yanaifanya

GOR MAHIA YAIPIGA TALANTA, OMALA AKIZIDI KUNG’AA LIGINI Read More »