HAKI AFRIKA YAZITAKA ASASI ZA USALAMA KUWAKABILI WAHALIFU BILA KUWAHANGAISHA
Mkurugenzi mkuu wa shirika la kutetea haki za kibinadamu la Haki Afrika kaunti ya Mombasa Hussein Khalid amesema sheria inapaswa kuzingatiwa vilivyo katika kuwakabili wahalifu nchini. Hussein amesema ni sharti sheria zilizobuniwa nchini kuzingatiwa licha ya kuwa taifa la Kenya linashuhudia visa vya uhalifu. Amesema haifai kwa maafisa wa usalama kutumia nguvu kupita kiasi wanapokabiliana […]
HAKI AFRIKA YAZITAKA ASASI ZA USALAMA KUWAKABILI WAHALIFU BILA KUWAHANGAISHA Read More »



