Elvis Baya

ODEGAARD NA JESUS WAIPAISHA ARSENAL USHINDI WA 3-1 DHIDI YA CHELSEA

Magoli mawili ya Martin Odegaard na moja la Gabriel Jesus yametosha kuwapa Gunners ushindi ugani emirates usiku wa kuamkia leo. Odegaard raia wa Norway aliwapa Arsenal uongozi wa mechi hiyo kwa kucheka na wavu dakika ya 18 kabla ya kuongeza goli la pili kunako dakika ya 31. Dakika tatu baadae Gabriel Fernando de Jesus aliwapa

ODEGAARD NA JESUS WAIPAISHA ARSENAL USHINDI WA 3-1 DHIDI YA CHELSEA Read More »

Ferdinand Omanyala /Picha Kwa hisani

OMANYALA AIBUKA BINGWA KWENYE MASHINDANO YA GRAND PRIX AFRIKA KUSINI

Ferdinand Omanyala alianza msimu wake vyema kwa kutumia muda wa sekunde 10.12 katika mkondo wa kwanza wa Msururu wa ASA Grand Prix nchini Afrika Kusini. Mwanariadha huyo mwenye kasi zaidi barani Africa aliongoza World Athletics Continental Tour kwenye Uwanja wa riadha wa Tuks mjini Pretoria Jumatano jioni. Omanyala aliwapiku washiriki 7 wengine japo hakuweza kufanikiwa

OMANYALA AIBUKA BINGWA KWENYE MASHINDANO YA GRAND PRIX AFRIKA KUSINI Read More »