FAINALI ZA DOLA SUPER CUP KUANDALIWA 21 – 25 AGOSTI 2024
SASA ni rasmi kwamba fainali za michuano ya Dola Super Cup Inter-County zitaandaliwa katika Kaunti ya Mombasa kuanzia Jumatano, 21 Agosti 2024 hadi Jumapili 25 Agosti 2024. Kwa mujibu wa barua kutoka kwa kamati andalizi kwa timu zilizofaulu kuingia fainali ni kwamba washiriki wote wanatakiwa kuingia kambini huko Mombasa kuanzia Jumanne 20 Agosti 2024 saa […]
FAINALI ZA DOLA SUPER CUP KUANDALIWA 21 – 25 AGOSTI 2024 Read More »



