Elvis Baya

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0

Timu ya taifa ya Morocco imebanduliwa nje ya michuano ya AFCON kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 walichopokezwa na Afrika kusini katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo inayoendelea Côte d’Ivoire. Goli la fowadi kinda mwenye umri wa miaka 23 Evidence Makgopa ambaye ni sajili wa Orlando Pirates liliwapa Afrika Kusini uongozi wa mechi […]

AFCON | Afrika Kusini Yafuzu Robo Fainali, Yaichapa Morocco 2-0 Read More »

RASHID ABDALLA SUPER CUP KUNGÓA NANGA KIBINGWA, TIMU 32 KUSHIRIKI

Kipute cha RASHID ABDALLA SUPER CUP chatazamiwa kurindimwa kwa mfumo wa kipekee tofauti na mfumo uliotumiwa katika awamu za awali za michuano hiyo. Akiongea na TAMA LA SPOTI Kaka Zema, ambaye ni mmoja wa wanakamati wanaoandaa ligi hiyo, amesema kwamba toleo hili la nne litachezwa kutumia mfumo wa mashindano ya Klabu Binwa bara Ulaya. “Makala

RASHID ABDALLA SUPER CUP KUNGÓA NANGA KIBINGWA, TIMU 32 KUSHIRIKI Read More »