lulufm

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Totenhum Hotspurs Antonio Conte amesema anaimani kwamba mchezaji wake Son Hoeng-min atacheza katika mashindano ya kombe la dunia ambako timu yake ya taifa Kosea Kusini inashiriki. Son ambaye ashafanyiwa upasuaji usoni na anazidi kupata matibabu alipata jeraha hilo alipogongana na Chancel Mbemba, kwenye mechi ambayo Spurs walishinda mabao 2-1 dhidi

SON ATACHEZA KOMBE LA DUNIA – CONTE Read More »

SALIM MVURYA ASEMA SERIKALI KUU IMEWEKA MIKAKATI KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI

Waziri wa madini na uchumi wa raslimali za baharini BLUE ECONOMY Salim Mvurya amesema wameweka mikakati thabiti ambayo itasaidia katika kuimarisha sekta ya uvuvi na pia kuboresha kipato cha nchi. Mvurya ambaye alikuwa akizungumza kwenye kaunti ya Mombasa, amesema serikali kuu inapania kuimarisha shughuli za uvuvi pamoja mazingira ya uvuvi baharini. Kwa mujibu wa Mvurya

SALIM MVURYA ASEMA SERIKALI KUU IMEWEKA MIKAKATI KUIMARISHA SEKTA YA UVUVI Read More »