Janet Mumbi

VISA VYA UHALIFU VINAENDELEA KUSHUHUDIWA KISAUNI

Ongezeko la uhalifu unaotekelezwa na vijana kaunti ya mombasa umechochea mkutano kati ya maafisa wa usalama, viongozi na wahudumu wa bodaboda kutoka mitaa ya kisauni na mtopanga. Mkutano huo umeafikia kuwa wahalifu na wazazi wao wakamatwe ili kuleta uwajibikaji na kukomesha uhalifu. Mbunge wa Kisauni Rashid Bedzimba amesisitiza haja ya wazazi hao kuchukuliwa hatua kwani […]

VISA VYA UHALIFU VINAENDELEA KUSHUHUDIWA KISAUNI Read More »

WAHADHIRI WA VYUO VIKUU NCHINI WAMKOSOA WAZIRI WA ELIMU EZEKIEL MACHOGU

Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wamemkosoa waziri wa elimu Ezekiel Machogu kufuatia tangazo lake kuwa serikali haitafadhili tena vyuo vikuu vya umma. Katibu mkuu wa chama cha wahadhiri-UASU- Constantine Wasonga, amesema pendekezo hilo halina msingi wowote na litaathiri pakubwa shughuli vyuoni. Wasonga amesema kuwa hakuwa na imani na uteuzi wa Machogu katika wizara ya elimu

WAHADHIRI WA VYUO VIKUU NCHINI WAMKOSOA WAZIRI WA ELIMU EZEKIEL MACHOGU Read More »