WATALII WANAOZURU MAGARINI WAHAKIKISHIWA USALAMA WAO
Watalii wanaozuru kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi wamehakikishiwa usalama wa kutosha msimu huu wa sherehe za mwezi wa Disemba. Haya ni kwa mujibu wa naibu kamishna Ngugi Thiong’o ambaye amesema kuwa idara ya usalama iko ange kushika doria katika maeneo ambayo ni vivutio vya utalii sawia na eneo zima la magarini kwa jumla […]
WATALII WANAOZURU MAGARINI WAHAKIKISHIWA USALAMA WAO Read More »


